Fanspage

ads here

WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2012

advertise here
1. 1. Wanafunzi  165 wa kidato cha tano 2012 wachaguliwa kujiunga na Muheza High School. PCB  100 na CBG 65. Wasichana  60  na wavulana  105
Shule ipo umbali wa km 3.5 mashariki mwa mji mkuu wa Wilaya ya Muheza kuelekea Tanga Mjini. Kutoka kituo cha basi kikubwa cha Mji wa Muheza, usafiri wa Tax mpaka Muheza high School ni shilingi 3,500/=. Unatakiwa kuripoti shuleni ifikapo tarehe 11/ 04 / 2012, mwisho ni 21/ 04 / 2012.


Advertisement
BERIKAN KOMENTAR ()