Fanspage

ads here

OFFICIAL OPENING OF MUHEZA HIGH SCHOOL

advertise here

Rais Jakaya M. Kikwete akikata utepe tarehe 19/07/2008 kufungua shule mpya sekondari ya kidato cha tano na sita ya Muheza, Muheza High school, lilyojengwa kwa ushirikiano wa wananchi wa wilaya ya Muheza kupitia Muheza Developmeny Trust Fund, Serikali ya Marekani na Serikali ya Tanzania.Kushoto pembeni ya Rais ni Naibu Mwambata wa jeshi la Marekani nchini(Defence Liason Officer U.S.embassy) Bi.Karin Gleisner na kulia ni mwalimu mkuu wa shule hiyo Alex Birumo.Serikali ya Marekani imechangia jumla ya dola za Kimarekani $115,000 kwa ujenzi wa shule hiyo.
Advertisement
BERIKAN KOMENTAR ()